Huyu Linnah Sanga amekumbwa na nini!?

Nimejiunga na huo mtandao hivi juzi ila niliamua kufollow page za michezo tu na watu wa michezo na habari.

Huo mtandao una watu wa ajabu sana.
Yaani .. ni vituko " Mimi umenishinda mkuu .. huwa na elimika na kuhabarika hapa hapa Jf... Jf ndio chanzo changu kikuu cha habari ...

Huwa napita bbcswahili na Dw
Sky newz .. al Jazeera huko kwengine hapana aisee
 
Yaani .. ni vituko " Mimi umenishinda mkuu .. huwa na elimika na kuhabarika hapa hapa Jf... Jf ndio chanzo changu kikuu cha habari ...

Huwa napita bbcswahili na Dw .basi ..huko kwengine hapana
Yaani ule mtandao kama akili hazikamatani vizuri unaweza kujikuta unaambukizwa upumbavu.

Ni mtandao wa kijinga sana.
 
Yaani ule mtandao kama akili hazikamatani vizuri unaweza kujikuta unaambukizwa upumbavu.

Ni mtandao wa kijinga sana.
Namimi niliamua kufanya hivyo baada ya kuona naanza kutoka nje ya mstari taratibu ... mara niangalie mange kapost nini .. mara sijui diamond .. nikashtuka nikaona huu ni ungese .. nikapiga u-turn yakufa mtu nikiifutilia mbali app yenyewe ili nisiweze kukanyaga tena
 
Kazi yangu ilinilazimu kuwa na account huko ila nilifollow watu wenye haiba na majukumu yangu tu.

Hata leo nipate notification amanifollow Diamond naignore, maana unapomkaribisha anakuja na wapuuzi kama 300.
 
Kama unaweza kuji-control hakuna mbaya chief .. muhimu ni kujitambua tu
 
Huyu Anaweza akawa anakula madawa ya kulevya sasa...
 
Tumpe muumba credit zake, ana paja tamu
 
halafu atatokea mjinga mjinga atakuambia Linah anawaaribia watoto zao

kuhusu hivyo vichupi hiyo ni fashion mjini kwa sasa, BASATA inasubiri Wema na Diamond wafanye ndo wawafungie upuuzi mtupu
 
Ulifanya maamuzi magumu na ya busara sana.
Huyu mi namfollow coz napenda nyimbo zake...ila anaanza kutoka mstarini.
 
halafu atatokea mjinga mjinga atakuambia Linah anawaaribia watoto zao

kuhusu hivyo vichupi hiyo ni fashion mjini kwa sasa, BASATA inasubiri Wema na Diamond wafanye ndo wawafungie upuuzi mtupu
hahahaa hii itakuwa hauja post wewe mkuu ... Au acc yako imekwapuliwa !!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…