hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Yaani .. ni vituko " Mimi umenishinda mkuu .. huwa na elimika na kuhabarika hapa hapa Jf... Jf ndio chanzo changu kikuu cha habari ...Nimejiunga na huo mtandao hivi juzi ila niliamua kufollow page za michezo tu na watu wa michezo na habari.
Huo mtandao una watu wa ajabu sana.
Huwa napita bbcswahili na Dw
Sky newz .. al Jazeera huko kwengine hapana aisee