Huyu Linnah Sanga amekumbwa na nini!?

Ulifanya maamuzi magumu na ya busara sana.
Huyu mi namfollow coz napenda nyimbo zake...ila anaanza kutoka mstarini.
naaam mkuu. " ukiendekeza nafsi sana hakuwahii kupotea .. mbaya zaidi unapotea huku bado unajiona uko sahihi
 
Watanzania wenzangu tumezidi ushamba hadi tunaboa khaaa!
Ndio maana maendeleo sifuri kwa kufatilia nyendo za wengine hali ya kua una matatizo unajaza pipa.
 
Yuko vizuri Sana kumla tako Yani ana tako teketeke Sana huyu[emoji39][emoji39][emoji39]
 
nilisikia huko daslam ni heri mwanamke akose akili ila awe na wowowo
 
Sasa ulitaka nifumbe macho!!!??
Yes, tena utoke nduki, lakini ukaiangalia, ukaizoom ukaona haitoshi ukaibeba na kuishusha huku.... umesaidia kueneza maovu kama ni dhambi hapo mnapigiana pasu kwa pasu.
 
Kumbe tupo wengi tusiotumia kabisa huo mtandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…