Huyu Linnah Sanga amekumbwa na nini!?

Huyu Linnah Sanga amekumbwa na nini!?

Ulifanya maamuzi magumu na ya busara sana.
Huyu mi namfollow coz napenda nyimbo zake...ila anaanza kutoka mstarini.
naaam mkuu. " ukiendekeza nafsi sana hakuwahii kupotea .. mbaya zaidi unapotea huku bado unajiona uko sahihi
 
Watanzania wenzangu tumezidi ushamba hadi tunaboa khaaa!
Ndio maana maendeleo sifuri kwa kufatilia nyendo za wengine hali ya kua una matatizo unajaza pipa.
 
Sasa ulitaka nifumbe macho!!!??
Yes, tena utoke nduki, lakini ukaiangalia, ukaizoom ukaona haitoshi ukaibeba na kuishusha huku.... umesaidia kueneza maovu kama ni dhambi hapo mnapigiana pasu kwa pasu.
 
Hahaa ..mimi ndio maana nili unstore hiyo app ... ukiwa member wa huo mtandao mawazo yako yanakuwa yana waza kutiana tiana tu ..all time ..

Kama kipindi kile kabla TCRA hawajaja na sheria za mitandaoni ..ili kuwa ukifungua tu mtandao unakutana na makalio makalio na K za kutosha zilizoachwa wazi zilifichwa kwenye thong yaani full vurugu na vurumai
Kumbe tupo wengi tusiotumia kabisa huo mtandao
 
Back
Top Bottom