Huyu Linnah Sanga amekumbwa na nini!?

Hapo basata inahusikaje kwani ni jukwaani ,redion au tv ,mbona mamiss wanavaa hadi bikini majukwaani chini ya basata
 
Lo! Umenifikisha mbali sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnatulingishia matako hata sisi tunayo sema yetu makavu kama ya ngedere
 
Msichokijua tu " ni kwamba ile biashara ya madada wa mjini kujiuza badoo ..sasa imehamia INSTA na whatsapp ...

So msishangae Sana " watu wapo sokoni wakijinadi kwaajili ya biashara zao
Bora niendelee kufanya biashara yng ya kuuza nyanya na baba jak,halafu ina lipa sana !
 
Acha ushamba, huoni kwamba Kuna Beach Kidimbwi mbele yake?
Au ulitaka aogelee na baibui?
 
Mambo binafsi,hayo,je asingekuwa mwanamuziki na afanye hivyo utafanyeje,mwache aonyeshe kishimundu chake bana.
 
Katika watanzania wa 4 wanaume watatu wameongeza umri wa kuishi kwa kutazama picha hii!
 

 
Afu huyu dada nam feel kinoma, nilikuwa namtafuta nimweleze hisia zangu...
Linnah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…