Huyu Linnah Sanga amekumbwa na nini!?

Huyu Linnah Sanga amekumbwa na nini!?

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Waswahili husema maumivu ya kichwa huanza pooole poleee...

Huyu dada alianza pole pole.. Ila kwa vile anaendelea kujivinia malikes na mafollowers sasa anakoelea au alikofika ni extreme. Nawauliza hawa BASATA ....na vyombo husika.. Wengine ni sahihi kufanya uchafu na wengine si sahihi.!?
Hii picha mbona ni mbaya sana.
IMG_20181226_093450_880.jpg
 
View attachment 977565
Laana ya Muumba ni mbaya bora ya wazazi mbwembwe nyiiiingi hawajifunzi waliopita kabla yao Leo Masogange yupo wapi alikuwa hivi na hakutegemea kama mwaka huu asingeumaliza lkn Leo ni mwenye kujibu juu ya yale aliyoyatenda tujiandae tu ni wapitaji sisi.
 
Hiyo ndio Instagram sasa mnashangaa nini? Instagram ipo kwa ajili ya kinamama kuonyesha makalio, au mnakwenda huko kutazama taarifa ya habari? Acheni kulialia kila kitu, acheni tuburudishe macho.
 
Waswahili husema maumivu ya kichwa huanza pooole poleee...

Huyu dada alianza pole pole.. Ila kwa vile anaendelea kujivinia malikes na mafollowers sasa anakoelea au alikofika ni extreme. Nawauliza hawa BASATA ....na vyombo husika.. Wengine ni sahihi kufanya uchafu na wengine si sahihi.!?
Hii picha mbona ni mbaya sana.
View attachment 977565
wabongo acheni unafiki,hiyo picha yuko swimingi pulu,ulitaka aogelee na dela? unaponda huku unapenda....acheni watu waishi maisha yao bana,unamsema Lina ila ukiona picha km hiyo ya Minaj unaweka na sreensaver kabisa
 
Hiyo ndio Instagram sasa mnashangaa nini? Instagram ipo kwa ajili ya kinamama kuonyesha makalio, au mnakwenda huko kutazama taarifa ya habari? Acheni kulialia kila kitu, acheni tuburudishe macho.
Hahaa ..mimi ndio maana nili unstore hiyo app ... ukiwa member wa huo mtandao mawazo yako yanakuwa yana waza kutiana tiana tu ..all time ..

Kama kipindi kile kabla TCRA hawajaja na sheria za mitandaoni ..ili kuwa ukifungua tu mtandao unakutana na makalio makalio na K za kutosha zilizoachwa wazi zilifichwa kwenye thong yaani full vurugu na vurumai
 
Nimejiunga na huo mtandao hivi juzi ila niliamua kufollow page za michezo tu na watu wa michezo na habari.

Huo mtandao una watu wa ajabu sana.

Back
Top Bottom