Huyu mama alikua anamaanisha nini?

Uliwezaje kuyakariri maneno yote hayo Tena kwa mpita njia tuu. Ama kweli umbea kipaji
 
Nanukuu maneno yake niliyosikia nikiwa dirishani chumban kwangu, yeye alikua anapita barabaran anapita halafu alikua anaongea kwa nguvu sana!

"YANI NA KWAMBIA KWA WEEK MARA MOJA DAKIKA 5 TUU, TENA HIYO MARA MOJA YENYEWE KWA MBINDE SANAAA YANIIII"P
Shule zifunguliwe wajamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…