kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Last week kuna sehemu nilitembelea vijijini nilicho kutana nacho kilinitoa machozi. Duniani kuna watu wanateseka saana.
Nilikutana na mama mmoja mjane ambaye anaishi peke yake anaumwa ugonjwa wa kansa.
Nilivyoongea naye akanipa maelezo jinsi alivyopata tatizo ilo ambalo lilianza kama kaupele kadogo. Alijaribu kwenda hospitali walimuomba kiasi cha pesa ambazo alikuwa hana.
Kwahiyo akaamua kurudi nyumbani kujitibu kwa miti shamba lakini hakuna kilichobadilika zaidi ya ugonjwa kuongezeka na kuzidi kuwa kubwa zaidi tu.
Nilimuuliza vipi kuhusu chakula akasema anajipikia mwenyewe kuna kipindi kuna baadhi ya watu wenye roho nzuri wanamleteaga chakula ila siku hizi hawaoni tena anafikiri wanakimbia harufu ya mguu wake mbaya na kweli yule mama mguu wake unatoa harufu mbaya.
Ni huruma saana.
Nafikiri ni vizuri Serikali wawe wanasaidia watu kama sio wote wenye uchumi mzuri katika nchi hii Serikali iwe inakubali kupata hasara juu ya watu kama hawa.