Huyu mama kazidi sasa

Mbona una utani mbaya
 
Ha ha ha ha ha... Ndo maana dadaako kasepa...
Alikuona wakati unatokea kona nn?
Dada hawezi nikimbia mie
ila kaa ukijua mungu anakuona bwana shemejii na kesho utaenda ulizwa kwa kunyemelea dada za watu [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]

Na siku utaenda oman upararaiz kuanzia kwenye kitovu kushuka chinii
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kwa hio nisiende kutembelea ndugu zangu... Dua kama hizo hazifai Nyoka mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…