mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Nimekumbuka duaUsisahau dua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumbuka duaUsisahau dua
Mbona una utani mbayaHahaha uko ndo kwetu na ndo nlipopazoea,maisha ya huko nayapenda naenjoy japo tabu tabu zipo lkn insha Allah kila kitu kitaenda as planned.
Napenda wanaume wa kibongo hasa wabara,sitaki mwarabu mwenzagu[emoji23] .nawapenda they are powerfull kwa kila kitu.unataka nkualike harusini nn!!
Sina utani hapo naongea seriouslyMbona una utani mbaya
Hahaha unaongea nini[emoji23] [emoji23] Zamiluni Zamiluni umekosea njiaJamani nimepata mtaji wa kutosha!! nakuja fungua Pharmacy hapo Dar " sijui ntapata indoor salesperon " au yule kaka aendeshe biashara!!
NimefanyajeMbona una mbaya.
Hapo nilikoseaNimefanyaje
Huyo ameamua kunikosea adabuHahaha unaongea nini[emoji23] [emoji23] Zamiluni Zamiluni umekosea njia
Muache hahaHuyo ameamua kunikosea adabu
hata sijakosea.. kweli natakufungua dula la madawa tena mlango uwe wazi 24/7 !!Hahaha unaongea nini[emoji23] [emoji23] Zamiluni Zamiluni umekosea njia
Hahaha huachagi visa ww haaa!!unaniua mbav miehata sijakosea.. kweli natakufungua dula la madawa tena mlango uwe wazi 24/7 !!
Mtarajiwa wangu akamuuzie yeye pharmacy? Hata kama sio mabilionea hatuna njaa hio... Ha ha ha.Muache haha
Mbona hujaniuliza dua uliyoomba?Usisahau dua
bwana shemeji bwana shemeji nakuona nakuonaMimi nina mama zangu wawili na dada zangu Yaaani kwa ujumla family kubwa iko Oman... Huwa najiambia Nikienda India na Dubai nipite kidogo niwasalimie lakini najifanya busy.... Lakini safari hii nitapitia inshallah.
binamu mungu anakuona ,ila ww humuoniiInsha Allah,mm karibia familia yote ipo huku,nmetafutiwa bwana[emoji38] [emoji12] nmemkataa,hahaha nataka wa bongo staki ishi huku japo starehe nyng alhamdulillah
Ha ha ha ha ha... Ndo maana dadaako kasepa...bwana shemeji bwana shemeji nakuona nakuona
Dada hawezi nikimbia mieHa ha ha ha ha... Ndo maana dadaako kasepa...
Alikuona wakati unatokea kona nn?
Ondoa komamanga hilo sijala siku nyingi wantia hamu atiiii!!!!Mm sipajui fesibuku
Kwa hio nisiende kutembelea ndugu zangu... Dua kama hizo hazifai Nyoka mzee.Dada hawezi nikimbia mie
ila kaa ukijua mungu anakuona bwana shemejii na kesho utaenda ulizwa kwa kunyemelea dada za watu [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
Na siku utaenda oman upararaiz kuanzia kwenye kitovu kushuka chinii
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hakuna kuongea hapo, ni kufunga zipu tu, ndo jibuHuyo aliyeambiwa akajibu vipi??
kasema anataka kufungua duka,kaja kusema hapa hahaha tena la madawa,wacha nitanunua tu akiniuzia si kaja kunijulisha mapemaMtarajiwa wangu akamuuzie yeye pharmacy? Hata kama sio mabilionea hatuna njaa hio... Ha ha ha.