Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
-
- #141
Kutembea tu[emoji38]Sababu ashindwe kutembea kuja huko kwa binam[emoji2] [emoji2] [emoji2]
binam mbona wampa kichwa sana huyu pole ya nini acha dua imkute tuPole kwa dua za uchochez[emoji1]
It is not very appetizing joke tunda languHhmm!!!vibaya?
Hhmm usimuombee mwenzio mabayaa,wakat ww hutaki yakufike jamanibinam mbona wampa kichwa sana huyu pole ya nini acha dua imkute tu
Hahaha mwanaume unamambo ww,haya wacha ninyamazeIt is not very appetizing joke tunda langu
Shem alikua anatuchora.... Kuna jambo limemfurahisha kaibuka.... Haya Muulize lile swali.Sababu ashindwe kutembea kuja huko kwa binam[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahaha alifulia uyo ndo karudi kwa kasiShem alikua anatuchora.... Kuna jambo limemfurahisha kaibuka.... Haya Muulize lile swali.
Imekuwa zaidi ya marekani na Korea.... Ingekuwa kitu kingine ningemwachia yaishe.... Lakini tundaaa...SIWEZI.Hhmm usimuombee mwenzio mabayaa,wakat ww hutaki yakufike jamani
Nimuulize swali gani naona kumeongezeka tu wawekezaji wanaotaka kuwekeza kwa dada anguShem alikua anatuchora.... Kuna jambo limemfurahisha kaibuka.... Haya Muulize lile swali.
Hahahah tunda gani tn ilo mkuuImekuwa zaidi ya marekani na Korea.... Ingekuwa kitu kingine ningemwachia yaishe.... Lakini tundaaa...SIWEZI.
Ukinyamza utakuwa umenuna... Na mimi sipendi unune.Hahaha mwanaume unamambo ww,haya wacha ninyamaze
Hhmmm binamu yupo api aje amwite shem wako maana nshaanza kuogopaUkinyamza utakuwa umenuna... Na mimi sipendi unune.
Kwanni ukhtyInsha Allah,mm karibia familia yote ipo huku,nmetafutiwa bwana[emoji38] [emoji12] nmemkataa,hahaha nataka wa bongo staki ishi huku japo starehe nyng alhamdulillah
Napenda wanaume wa bara[emoji38] kwa kila kituKwanni ukhty
Nani tena huyo??... Udalali huo bwa shemeji noma bwanaNimuulize swali gani naona kumeongezeka tu wawekezaji wanaotaka kuwekeza kwa dada angu
Huna haja ya kuwapa watu faidaHahahah tunda gani tn ilo mkuu
binamu nipo hapa usijal hakuna atayekuibaHhmmm binamu yupo api aje amwite shem wako maana nshaanza kuogopa
Hhmm!!!Huna haja ya kuwapa watu faida
Work wa mkoani hatuna chetuNapenda wanaume wa bara[emoji38] kwa kila kitu
Hahahaha [emoji28] [emoji1] naogopagabinamu nipo hapa usijal hakuna atayekuiba