mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Na wewe umezidi woga.... Sasa hapo waogopa nn tena.Hhmmm binamu yupo api aje amwite shem wako maana nshaanza kuogopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe umezidi woga.... Sasa hapo waogopa nn tena.Hhmmm binamu yupo api aje amwite shem wako maana nshaanza kuogopa
mie nishasema bwana shemeji dada mmemshindwa niachieni mwenyeweNani tena huyo??... Udalali huo bwa shemeji noma bwana
Sisi wa mkoani hatuna chetuWork wa mkoani hatuna chetu
usijal ulinzi nimeimarisha na ndomana nilivyoskia tu kaaanza nikaja mbio hapaHahahaha [emoji28] [emoji1] naogopaga
Poleee[emoji54]Sisi wa mkoani hatuna chetu
Anaanza yale mambo alaf si ww binam unajua nishawahiwa na yule shem wako,bado kusubir mahar tuusijal ulinzi nimeimarisha na ndomana nilivyoskia tu kaaanza nikaja mbio hapa
kuwa na amani kabisa hakuna baya litalokutokea hapa
hahaha hajui kama ntapokea mpunga saa yoyoteAnaanza yale mambo alaf si ww binam unajua nishawahiwa na yule shem wako,bado kusubir mahar tu
Atakama ningekua na kaa pwan bado ingesaidia wazazi wangu wanatokea yemenPoleee[emoji54]
Vulture is a patient bird.Anaanza yale mambo alaf si ww binam unajua nishawahiwa na yule shem wako,bado kusubir mahar tu
Hahahaha wallahy nmecheka kwa sauti,ww kweli chizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] mazoez ya nn.....hahaha hajui kama ntapokea mpunga saa yoyote
labda anafanya mazoezi ya qaswida na nashdi za kuja tumbuiza siku hiyooo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hhhmm,so ni mtu wa wapi wa yemen ?Atakama ningekua na kaa pwan bado ingesaidia wazazi wangu wanatokea yemen
Yap ila nimezaliwa tzHhhmm,so ni mtu wa wapi wa yemen ?
Hhmmm!! Rudia tena kusoma vzry kwa umakiniWanakaa pharmacy ???
Gud for uYap ila nimezaliwa tz
hahaha huyo bwana shemejii afnya mazoezi ya Qaswida na Nashdi na si wajua zile qaswida za ndoa hahahaHahahaha wallahy nmecheka kwa sauti,ww kweli chizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] mazoez ya nn.....
hahaha we subiria tu upokee mahar
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Vulture is a patient bird.
Mahari atapokea.... Kutoka kwa nani.... Atajua siku hio. Ha ha haHahahaha wallahy nmecheka kwa sauti,ww kweli chizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] mazoez ya nn.....
hahaha we subiria tu upokee mahar
Hahahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] usinivunje mbavu binami ww kaaa...hahaha huyo bwana shemejii afnya mazoezi ya Qaswida na Nashdi na si wajua zile qaswida za ndoa hahaha
hivi yupo au kazimia
maana mara mwisho nilimuacha wanamwekea drip ya qwinini [emoji51] [emoji51] [emoji51]
Msamehe[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]