Huyu mama kazidi sasa

Huyu mama kazidi sasa

Mimi nina mama zangu wawili na dada zangu Yaaani kwa ujumla family kubwa iko Oman... Huwa najiambia Nikienda India na Dubai nipite kidogo niwasalimie lakini najifanya busy.... Lakini safari hii nitapitia inshallah.
 
Insha Allah,mm karibia familia yote ipo huku,nmetafutiwa bwana[emoji38] [emoji12] nmemkataa,hahaha nataka wa bongo staki ishi huku japo starehe nyng alhamdulillah
 
Kwa nini unapenda wa bongo... Au ndo rizki yangu.
Hahaha uko ndo kwetu na ndo nlipopazoea,maisha ya huko nayapenda naenjoy japo tabu tabu zipo lkn insha Allah kila kitu kitaenda as planned.

Napenda wanaume wa kibongo hasa wabara,sitaki mwarabu mwenzagu[emoji23] .nawapenda they are powerfull kwa kila kitu.unataka nkualike harusini nn!!
 
Jamani nimepata mtaji wa kutosha!! nakuja fungua Pharmacy hapo Dar " sijui ntapata indoor salesperon " au yule kaka aendeshe biashara!!
 
Hahaha uko ndo kwetu na ndo nlipopazoea,maisha ya huko nayapenda naenjoy japo tabu tabu zipo lkn insha Allah kila kitu kitaenda as planned.

Napenda wanaume wa kibongo hasa wabara,sitaki mwarabu mwenzagu[emoji23] .nawapenda they are powerfull kwa kila kitu.unataka nkualike harusini nn!!
Mbona una mbaya.
 
Back
Top Bottom