Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
- #61
Umeomba nnMbona hujaniuliza dua uliyoomba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeomba nnMbona hujaniuliza dua uliyoomba?
Hahaha hala halabwana shemeji bwana shemeji nakuona nakuona
Nmefanyajeeebinamu mungu anakuona ,ila ww humuonii
Nlienda kulala,ndo naamka ha ha ha,kama nliwazia vile atakuja bwamkubwaHa ha ha ha ha... Ndo maana dadaako kasepa...
Alikuona wakati unatokea kona nn?
Hahaha kwann kuanzia kitovun kwnda chin unalako wwDada hawezi nikimbia mie
ila kaa ukijua mungu anakuona bwana shemejii na kesho utaenda ulizwa kwa kunyemelea dada za watu [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
Na siku utaenda oman upararaiz kuanzia kwenye kitovu kushuka chinii
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hhmm!!zuri kwanOndoa komamanga hilo sijala siku nyingi wantia hamu atiiii!!!!
Pole kwa dua za uchochez[emoji1]Kwa hio nisiende kutembelea ndugu zangu... Dua kama hizo hazifai Nyoka mzee.
Hhhmm!!Hakuna kuongea hapo, ni kufunga zipu tu, ndo jibu
Tuseme ndo ulikuwa unapewa panadol wewe, ile unatoka tu sebuleni, unakutana na jambo hilo, utajisikiaje?Hhhmm!!
Ntalichullikia bahat mbaya,mana kidume kajikakamua kunipa panadol ya nguv ndan,najua alivotoka alisahau kujiweka sawa.Tuseme ndo ulikuwa unapewa panadol wewe, ile unatoka tu sebuleni, unakutana na jambo hilo, utajisikiaje?
Muwe mnatukagua....Ntalichullikia bahat mbaya,mana kidume kajikakamua kunipa panadol ya nguv ndan,najua alivotoka alisahau kujiweka sawa.
Kama mume alitoka kwa papara ili amuwah mama ,mana alimuawacha kwa mda,inategemea na situation iliyokuapo wakat uoMuwe mnatukagua....
Hebu MuulizeNmefanyajeee
Hhmmm unaniweka majaribuni eeeeNimemuomba Allah amfanye Arabian Queen awe mke wangu mpenzi.
Una machale... Ha ha ha ha.Nlienda kulala,ndo naamka ha ha ha,kama nliwazia vile atakuja bwamkubwa
Kwani utanasa?Hhmmm unaniweka majaribuni eeee
Mkorofi huyu.... Lakini dua za kuku...........Hahaha kwann kuanzia kitovun kwnda chin unalako ww
Ahsante tunda languPole kwa dua za uchochez[emoji1]
[emoji1] Hakutakii memaMkorofi huyu.... Lakini dua za kuku...........