A guy was in a daladala and his phone rang. It was his wife calling and he wanted to show off so he decided to put his phone in aloud speaker and answered...
HIM; Hi! Sweetheart missing me already baby?
WIFE; Mbona umekunywa uji wa mtoto?!!!
hahahahahahah, nimecheka maana kuna siku nilikuwa kwenye ulabu, bwana mmoja akawa amelewa akaanza kutoa siri za nyumbani "yaani mke wangu sijui ana nini, asubuhi hataki kunipikia chai leo kwa ushenzi nimeamua kunywa uji wote wa mtoto"