huyu mama kiboko

huyu mama kiboko

Kashindi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
349
Reaction score
250
A guy was in a daladala and his phone rang. It was his wife calling and he wanted to show off so he decided to put his phone in aloud speaker and answered...
HIM; Hi! Sweetheart missing me already baby?
WIFE; Mbona umekunywa uji wa mtoto?!!!
 
Ha ha ha me ningekausha nakusema dah! mke wangu umeanza mafumbo yako... huku nikipunguza sauti😀😀😀
 
hahahahahahah, nimecheka maana kuna siku nilikuwa kwenye ulabu, bwana mmoja akawa amelewa akaanza kutoa siri za nyumbani "yaani mke wangu sijui ana nini, asubuhi hataki kunipikia chai leo kwa ushenzi nimeamua kunywa uji wote wa mtoto"
 
Back
Top Bottom