Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Huyo aliyenuna ni bi mdogo .......inaonekana hataki kuambatana na bi mkubwa aisha kushoto......pia inawezekana yeye pia anaona kubanwa na protocal wakati mzee mwenyewe "damu lala"...huku walinzi kibao....nashauri ashike mlinzi mmoja amliwaze..[refer yaliyomtokea rais salmin kuoa watoto wa kilo wakati ngoma yenyewe ya kupepea]