Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hii sijui niiteje au Ndio Wokovu unanifata fata kila niendako.
Je nikubali mwito wa wokovu au nikaze fuvu?
Huyu manzi mama nilivyosema nikifika naye tu ndani kwa ajili ya mnyanduano basi utasikia ameweka kwenye simu yake nyimbo za Injili mara kwaya.
Na mimi najifanya kama sisikiii naendelea na kilichonipeleka.