Huyu Mayele ndio mnamwita straika jini?

Huyu Mayele ndio mnamwita straika jini?

Basi Ukikumbuka Na Hii Na Huo Upupu Uloandika Hapo.. Unaishia Kusonya Tu [emoji28][emoji28][emoji28]
IMG_0127.jpg
 
Eti mazee huyu anayekosa magoli ya wazi ambayo hata mimi na uzee wangu huu siwezi kukosa! Ndio huyuhuyu alieanzishiwa uzi na jamaa mmoja hapa jukwaani kwamba kwa miaka mi5 hakutatokea straika kama huyu! Ni yakweli hayo?
Ndo Huyo Huyo!!
 
Back
Top Bottom