Huyu Mayele ndio mnamwita straika jini?

Eti mazee huyu anayekosa magoli ya wazi ambayo hata mimi na uzee wangu huu siwezi kukosa! Ndio huyuhuyu alieanzishiwa uzi na jamaa mmoja hapa jukwaani kwamba kwa miaka mi5 hakutatokea straika kama huyu! Ni yakweli hayo?
Ndo Huyo Huyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…