Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
sijawai kuona semaji bovu kama lile[emoji2][emoji23][emoji28]Kimataifa..yes , kupitia kwa msemaji wao msomi mwenye degree mbili za south africa na china bwana Hajj manara Yanga sc walitangaza kwamba mwaka huu watachukua ubingwa wa Afrika na wataanzia round ya kwanza siyo ya awali, inarajiwa Fiston mayele ataibuka top scorer wa CAf champions league
Apige goli 3Aibe?
Mayele huyu ambaye mechi ya Yanga vs simba aliondoka bila kuona ile milingoti 3 ya goli iko wapi? Au kuna mayele mwingine?Katika miaka kumi iliyopita toka hapa tulipo, tathimini yangu inanionesha hajawahi tokea mshambuliaji hatari kama Fiston Mayele.
Donald Ngoma na Okwi angalau kidogo.
Angalia mechi ya Jana Kigoma, japo hajafunga lakini mambo aliyokuwa anafanya pale mbele ni makubwa sana.
Anatumia hesabu ktk kupiga mipira golini, mikimbio, anavyojiposition nk.
Simba namponda kwakuwa hawana striker bora mfano wake.
HONGERA MAYELE, HONGERA YANGA
Nitajie mechi aliyofunga zaidi ya goli Moja
Goli 12 tunapata tabu hivi, angefikisha 20+....
Ingekuwaje wakuu.
Heeee.....Ongeza goli vs Geita lililokataliwa kimagumashi. Weka na nafasi mbili za wazi alizodhulumiwa VS Mbeya city. Usisahau magoli aliyofunga kombe la Azam confederation
Heeee.....
Bilq aibu unaandika hivi...
umeongea ki mpira haswa,ndugu yangu Leo hujala kande,[emoji1]?Mayele ni stricker mzuri sababu ni kinara wa kufunga magoli.
Sifa kuu ya stricker ni kufunga magoli.
Swali ni je'atadumu kwa misimu mingapi kuwa kinara wa ufungaji na pia ataendeleza ubabe wake wa ufungaji kwenye mechi za kimataifa? Ngoja tusubiri.
Labda aibeStriker hajawahi hata kutoka na mpira uwanjani.[emoji23][emoji23]