Huyu mbunge alicho kifanya ni cha ajabu sana

Huyu mbunge alicho kifanya ni cha ajabu sana

Moderators wanaumba mdogo wangu. Waangalie sana ntakueleza mwisho wa post.

Binafsi nadhani una sifa ya kutengenezwa kuwa kiongozi.

Yes you are rough, needing polishing ila unauwezo.

Kwenye hili jukwaa la saisa kwa mtazamo wangu toka ‘Juliana Shonza’ atoke mwanamke ambae alikuwa na uwezo wa kumudu attacks za patriarchy za jukwaa la siasa’ na kujibu kwa hoja za twende kazi.

Wewe ndio mtu wa pili ninaekuona better still Juliana alikuwa mwanasiasa wewe una elements za usomi na akili; but you need polishing (muhimu ni mtu wa kujifunza) tofauti na wale wadafa wa hovyo wa chit chat.

Endelea kupambana na kuonyesha uwezo wako wa kujenga hoja; ikifika hatua mods wanafungia accounts zako zote za fekero na wanakuachia moja unayotumia kuandika mambo ya maana; elewa jamaa wanataka kukusoma.

Good luck, personal I think you are better than Jokate and rest of useless; you just need polishing.

Sinaga muda na watu wapuuzi.
 
Hawa ndiyo wabunge sasa. Anaonesha msimamo wa kususa na kutupilia mbali mjadala mzima wa bunge
 
Back
Top Bottom