TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,266
- 25,555
Si afadhali ya huyo mkuu anapiga sururu!Hii nchi aisee!!
Si afadhali ya huyo mkuu anapiga sururu!Hii nchi aisee!!
Laana ya kuiba kuraView attachment 2187663
Hivi mbona hii nchi hatuko serious?
hawa ndio waaomi tunaotegemea, bunge hili la sasa kuna tatizo kubwa,
walaaniweLaana ya kuiba kura
Magu huwa anakuwasha washa!Hilo ndio bunge la marehemu magufuli
Acha ujinga weweMagu huwa anakuwasha washa!
Maximum dry density ya hilo eneo itapatikana kweli kwa staili hii?Hii sasa ndio namna ya kukagua ubora wa barabara ya lami
Kwa sisi nchi za kajamba nani hiyo njia ya kutumia sululu ni recommended katika kupata maximum dry density hapo kama barabara itashindwa kuhimili nguvu ya hiyo sululu means density ni ndogo hapo lakini njia ya kitaalamu zaid ni ile ya kutumia dry density tests kwa vifaa maalumuMaximum dry density ya hilo eneo itapatikana kweli kwa staili hii?