Tz mngeshamkamata eeeh?
Mbona hamkufanya lolote wakati Watanzania waliuawa kule South Africa? Usijichoche Babaa hakuna utakalolifanya na hakuna Mtanzania atasumbiluwa hapa Kenya.Xenophobic Jaguar.. Dhambi ya kubaguana wenyewe kwa wenyewe inaendelea kuwaumiza na itawamaliza. Jaribu kumgusa Mtanzania yeyote hapo Kenya uone mjibizo utakavyowalipukia huku Tz.
Yaani mtishe usalama wa watu wetu tunanyamaze sio? Kwani watu wenu hawako Tanzania?Mbona watanzania nd'o wanalia sana? Mboba waganda wasipige kelele?