2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Inauma sana pale unapojua jirani yako ni mnafiki au ni adui yako. Kauli ya mbunge wa jimbo la Starehe Jaguar inachefua sana hasa kutokana na ujirani tulio nao,hii ilizoeleka kutokea Bondeni tena sio kiongozi kusema basi watu kuamua.
Nilitegemea kiongozi kama huyo angechukuliwa hatua mara moja ili kutoa funzo kwa wengine. Je? Wakenya hawako nje ya nchi yao? Vp nao wakichukuliwa hatua kama mbunge anavyotaka?
Je Wakenya kweli mmeshindwa kupambana na kushindana na wafanyabishara kiasi cha kuona kuwatoa ndio suluhisho?? Jiongezeni bana mnatutia aibu.