Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

Mwandishi ni mtu mwenye credentials zake sio mzee wa buku tatu humu kusifia ama kuponda. Ukisoma hapo chin amejieleza ni mjeshi, habari maelezo etc. Acha roho mbaya kusema sema watu
Mpuuzi wewe kuwa mwanajeshi ndiyo nini? mawazo ya kijinga kabisa. Kwa hiyo wanajeshi ndiyo wapo perfect 100%?
 
Ule haukuwa mchakato wa kupata wagombea bali ilikuwa ni appointment tu ya watu.
 
Hivi huyu dogo nae amepita mikononi mwa Mbowe?. Alinifurahisha jinsi alivyojenga hoja za ukarabati wa viwanja vya mpira akionyesha kuwa ni suala lenye kuwezekana kufanyika.

Hazina fulani ya taifa kama Mungu akimjalia uhai mrefu.
huyu unaemsema wewe ni mwingine, mwenye hoja ya kukarabati viwanja ni Festo Sanga (Makete) ambae amepita mikononi mwa Mbowe (aliondoka cdm wakati ule na kina Shonza, )
 
huyu unaemsema wewe ni mwingine, mwenye hoja ya kukarabati viwanja ni Festo Sanga (Makete) ambae amepita mikononi mwa Mbowe (aliondoka cdm wakati ule na kina Shonza, )
Shida unasoma post na haufatilii huyu ni kiongozi anae tufaaa na tuendelee Kumuombea
 
Umekuja kujifisia hapa eti kijana mdogo, miaka 37 ni mdogo au ni kukosa akili? kijana mdogo ni under 22 wengine wote wazee
Shida hata sera ya vijana haujui mtu wa miaka 30 amemaliza masters na anakula presidential appointment unapinga nini kama sio mpuuzi
 
Mwandishi ni mtu mwenye credentials zake sio mzee wa buku tatu humu kusifia ama kuponda. Ukisoma hapo chin amejieleza ni mjeshi, habari maelezo etc. Acha roho mbaya kusema sema watu
Tatizo hampendi kuelezwa ukweli. Mnataka mtu asifiwe tu Kwa sifa za uongo. Tunasema ukweli hapa Ili ajirekebishe. Bila kusema ukweli hatajirekebisha
 
Ww utakuwa ni bonge la kilaza, barabara zinajengwa na mbunge mpaka useme baada ya yeye kuwa mbunge zimeanza kujengwa?
 
Picha na link kwenye moja ya michango yake kwenye mijadala Bungeni inetusisimua zaidi
 
Ww utakuwa ni bonge la kilaza, barabara zinajengwa na mbunge mpaka useme baada ya yeye kuwa mbunge zimeanza kujengwa?
Kanunua mashine na gari za ujenzi au haujui unaishi wapi wew kilaza mwenye upupu kichwani unashindwa fikiri
 
Hakika hii ni hazina kwa
nimekuwa nikifatilia mazungumzo yake bungeni amekuwa Mbunge mwenye hoja zenye mashiko sanaa 👏naweza kusema tumebarikiwa kupata kiongozi bora kwa wanamufundi na taifa kwa ujumla🙏Hakika huyu kiongozi ni hazina kwa taifa👍Tumuunge mkono kiongozi kijana mchapakazi na mwenye maono💪🙏
Unajipigia debe ili upate uwaziri? Mbunge makini bungeni ni Kishimba na Msukuma tu. Nyie na PhD zenu za jalalani university ni ovyo kabisa.
kila mtu anamtazamo wake lakin ukimfatilia kwa ukaribu utaona ni kiongozi bora 👍haitaji ata kupigiwa debe maana anajua uongozi na nikiongozi bora 🙏hii ni hazina jamanii
 
Duh ndo wewe lzm maana umejifagilia balaa....
Ila unfortunately CCM aka majizi ya kura ni wale wale...
 
Amelikoroga,alinywe sasa. Kuja kujisifia upumbavu hapa
 
Ahsante kwa taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…