Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

Huu upuuzi huwa mnautoa wapi kwa watu tunaojua kuwa hawakushinda uchaguzi zaidi ya kupora uchaguzi? Au mleta mada ndio huyo unayemtetea kwenye huu uzi?
Non sense!!! Acha kuishi kwa kukariri aisee.....Wewe endelea kuita upuuzi na sisi tunaendelea kuonyesha umahiri wa vijana wachache wa Kitanzania wanaofanya moves beyond their limits.
 
uchaguzi wa 2020 haukuwa huru na wa haki sababu wananchi walitishwa wasiwachagua watia nia wa CCM basi hawatapewa maendeleo.huu ulikuwa ubaguzi mkubwa as if wananchi hawalipi kodi.
 
Non sense!!! Acha kuishi kwa kukariri aisee.....Wewe endelea kuita upuuzi na sisi tunaendelea kuonyesha umahiri wa vijana wachache wa Kitanzania wanaofanya moves beyond their limits.

Peleka utoto mbali dogo.
 
Back
Top Bottom