Non sense!!! Acha kuishi kwa kukariri aisee.....Wewe endelea kuita upuuzi na sisi tunaendelea kuonyesha umahiri wa vijana wachache wa Kitanzania wanaofanya moves beyond their limits.Huu upuuzi huwa mnautoa wapi kwa watu tunaojua kuwa hawakushinda uchaguzi zaidi ya kupora uchaguzi? Au mleta mada ndio huyo unayemtetea kwenye huu uzi?
Anaonekana kuwa na mwelekeo chanya, lakini usimsahau Ng'wasi ni binti mdogo mwenye focus pia, hawa wawili wakiwa groomed vizuri wanaweza kututoa
uchaguzi wa 2020 haukuwa huru na wa haki sababu wananchi walitishwa wasiwachagua watia nia wa CCM basi hawatapewa maendeleo.huu ulikuwa ubaguzi mkubwa as if wananchi hawalipi kodi.Huu upuuzi huwa mnautoa wapi kwa watu tunaojua kuwa hawakushinda uchaguzi zaidi ya kupora uchaguzi? Au mleta mada ndio huyo unayemtetea kwenye huu uzi?
Non sense!!! Acha kuishi kwa kukariri aisee.....Wewe endelea kuita upuuzi na sisi tunaendelea kuonyesha umahiri wa vijana wachache wa Kitanzania wanaofanya moves beyond their limits.
Nani ashiriki ubakaji wa demokrasia ?Kama rahisi ungegombea na wewe upite uone joto lake