PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,199 Reaction score 8,761 Sep 14, 2010 #2 Mimi ningeuliza.."Huyu mwenye mbuzi vp"? Ni kwamba amefunga miguu ya mbuzi kwa mbele!, ..mambo ya usafiri mkuu!
Mimi ningeuliza.."Huyu mwenye mbuzi vp"? Ni kwamba amefunga miguu ya mbuzi kwa mbele!, ..mambo ya usafiri mkuu!
father-xmas JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 971 Reaction score 1,117 Sep 14, 2010 #3 wako safarini hao mkuu!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Sep 14, 2010 #4 Ahahahaaaaah du huo usafiri ni balaa!
D Dick JF-Expert Member Joined Feb 10, 2010 Posts 477 Reaction score 9 Sep 14, 2010 #5 Shida mgunduzi ... amegundua huyo!
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,275 Reaction score 13,929 Sep 14, 2010 #6 Maisha bora ni pamoja na usafiri unaoaminika na kupatikana kwa wananchi; angalia sasa watu inawabidi kuwabeba mbuzi mgongoni kwa kukosa miundombinu!!
Maisha bora ni pamoja na usafiri unaoaminika na kupatikana kwa wananchi; angalia sasa watu inawabidi kuwabeba mbuzi mgongoni kwa kukosa miundombinu!!
Homo Habilis Senior Member Joined Jul 2, 2009 Posts 188 Reaction score 23 Sep 14, 2010 #7 DUh kali qwel qwel.!
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 83 Sep 14, 2010 #8 'bandiko limerudiwa':confused2:
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Sep 14, 2010 #9 CBZ said: 'bandiko limerudiwa':confused2: Click to expand... thas is the Remix.
B Babuyao JF-Expert Member Joined Jun 6, 2009 Posts 1,741 Reaction score 272 Sep 14, 2010 #10 Jamaa ni mbunifu sana. Safari hiyooooo!
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,692 Reaction score 3,891 Sep 16, 2010 #11 kijana MS katika pilika zake pale kisiwandui