Huyu mbuzi vipi?

Huyu mbuzi vipi?

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
4,974
Reaction score
785
mbuzi.jpg
 
Mimi ningeuliza.."Huyu mwenye mbuzi vp"?
Ni kwamba amefunga miguu ya mbuzi kwa mbele!, ..mambo ya usafiri mkuu!
 
Ahahahaaaaah du huo usafiri ni balaa!
 
Maisha bora ni pamoja na usafiri unaoaminika na kupatikana kwa wananchi; angalia sasa watu inawabidi kuwabeba mbuzi mgongoni kwa kukosa miundombinu!!
 
kijana MS katika pilika zake pale kisiwandui
 
Back
Top Bottom