Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Wonderful story
 
Ukute mkewe hata mtaji hanaa
mama watoto wangu Hana hana makuu kabisa, Ni mama wa nyumbani TU anaenilelea wanangu vema kabisa kwa maadili yanayotakiwa.

Ila Yeye Ana miradi yake miwili tu ya kawaida inamuingizia hesabu yake nzuri ya kujikimu
(moja inaingiza kila jioni, nyingine kila mwisho wa mwezi) yeye akiwa amekaa TU pale kibarazani kwake nyumban.[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu mahonda bado hajaingizwa kingi na mleta mada kweli
Mmeanza chokochoko Sasa, uchochezi huu[emoji4]

Umewaona Hawa walimwengu mahondaw ?

Kesho watafata na kwako pia Nakadori [emoji4]
Na Keshokutwa tutaskia na kwa Noelia [emoji4]
Afu pia Mtondogoo watahamia kwa Tinsley [emoji4]

Hapo bado hajatajwa cocastic[emoji4]

Yaani Basi TU ili mradi wanichanganye kichwa mpk zikamfikie Mchepuko wangu anune akaninyime tunda langu[emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakuonea wivu unadhani masikhara kuzungukwa na majike yote hayo nashukuru tunafahamiana kitambo, sema umejanjaruka siku hizi au ndo mahanjam ya mchep ujue ukipata sex kiwango unajikuta mchangamfu kupitiliza
 
nashukuru tunafahamiana kitambo, sema umejanjaruka siku hizi

Nadhan ktk hii jf wee ndo mkongwe sana unaejua Mambo yangu mengi hasa sexlife in&out ya JF,
Sema hili la chepuko ulkua ulijui. NILIKUFICHA Sana hapa.

Hivi unakumbuka kipind flan cha nyuma mwaka Jana, nikawa nakupa live updates za kiumbe flan hivi alinikosha sana roho yangu kunako 6×6 nikawa nakupa na full updates. Ukaja ukamuona na ukamsifia Sana Ni mrembo balaa ana body yake ukasema iko KINANDA SANA[emoji4]

Basi jua ndo uyo uyo Sasa mchepuko wangu anaenipasua kichwa Kaka ako.

Sema kwa wakati ule sikutaka ujue Ni yeye mwenyewe ili kumantain confidentiality[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliposoma mada yako hii nilijiongeza tu kuwa pale ulinipiga na kitu kizito kichwani,, demu Yuko njema tatizo brain aisee na atakusababishia matatizo sijui hata tukusaidiaje hapa maana unakiri mwenyewe hapa kuwa hamnazo ila ndo umenasa, muhimu usiache akili yako nyuma ukiwa nae, angekuwa vizuri upstairs angefaidi sana maana hauko mchoyo, wala mbabaishaji
 
Niliposoma mada yako hii nilijiongeza tu kuwa pale ulinipiga na kitu kizito kichwani,

Ha ha ha....
Kama ulijua Mbona ukunisanua MDA wote huo umejikausha tu,

Au ulkua unaniacha niendelee kujimwambafai kisha pemben ukanipe vilivyo vidonge vyangu?[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha....
Kama ulijua Mbona ukunisanua MDA wote huo umejikausha tu,

Au ulkua unaniacha niendelee kujimwambafai kisha pemben ukanipe vilivyo vidonge vyangu?[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu napenda kama kuona mtu anafurahi Yani,, maana naelewa kabisa raha unayopata huko,, sasa viuongo vidogo vidogo km hivyo sio vizuri kuvishikia bango,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…