Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
- Thread starter
- #141
Nipe upako mkuu... Maana nimesha wekwa kwenye chupa tayari.. Nashindwa hata kujigeuza 😢😢.Hao watu wake a.k.a wadudu wake a.k.a majini maana yake huyo ni mtu jini.
Tunaposema mtu wa Mungu maana yake Roho wa Mungu a.k.a Roho Mtakatifu anakaa ndani yake.
Huyo ni mtu wa Ibilisi nashangaa amekuweka wazi lakini bado unahangahika naye.
3 yrs later nakuona uko mahali pabaya