Huyu mchepuko nimfanye nini?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu!

Akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta nikamtia kerebu!

Ndo kwanza akawaka mdomo matusi yakawa yanamtoka, mara aniite mimi nyumbu, mara jitu la hovyo, nikamvuta tena nikamramba kichwa cha pua akakimbia!

Kinachoniuma kwanini aniite kenge maji? natafuta jambo lakumuadabisha zaidi, sasa nimfanye nini..?
 
Amekuita majina unayostahili, hivyo hukuwa na sababu ya kumpiga
 
Lucha mwenzako huyu! Miaka 10 ijayo akisoma mandishi hayo atajiona alivyokuwa wa ajabu.
 
Acha utoto KENZY we mkubwa ujue!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…