Huyu Mchezaji Steven Mukwala kutoka Uganda akisajiliwa na Simba SC nitajua sasa Simba SC wameamua kuwa Serious na Vikombe walivyovikosa

Huyu Mchezaji Steven Mukwala kutoka Uganda akisajiliwa na Simba SC nitajua sasa Simba SC wameamua kuwa Serious na Vikombe walivyovikosa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwa Kipaji kikubwa alichonacho na kwa aina ya Vipaji vilivyopo hapa nchini Uganda Simba SC watafanikiwa nae mno.

1719863586003.png

Steven Mukwala​
 
Mukwala ni "Deal Done" kinachosubiriwa ni kutambulishwa tu
 
Bamutu batalokota benyewe munyavu....moja kati ya sign niliyoisubiri kwa hamu sana ni hii,uzuri pale simba maduka yote makina mkude,chama,na inonga yametimuliwa,mikundu yao.
 
SIMBA watakapotangaza ndipo nitaongea..
Haya mengine ni mbwembe tu za MSEMAJI
 
Kwa Kipaji kikubwa alichonacho na kwa aina ya Vipaji vilivyopo hapa nchini Uganda Simba SC watafanikiwa nae mno.

View attachment 3030974
Steven Mukwala​
Steven Mukwala huyu huyu! Ila mashabiki wa simba huwa mnawapamba sana wachezaji wenu kabla ya usajili! Ila baada ya usajili sasa, uhalisia wake unakuwa ni mbingu na ardhi!

Na hapa ulikuwa bado hujayapamba na yale makapi mengine mfano Joshua Mutale, Okejepha, nk! 😀
 
Back
Top Bottom