Hivi bado ni Deal Done?? Au imekua Dini Danieli?Kwa Kipaji kikubwa alichonacho na kwa aina ya Vipaji vilivyopo hapa nchini Uganda Simba SC watafanikiwa nae mno.
View attachment 3030974
Steven Mukwala
Dah! Na matusi juu! 😀Bamutu batalokota benyewe munyavu....moja kati ya sign niliyoisubiri kwa hamu sana ni hii,uzuri pale simba maduka yote makina mkude,chama,na inonga yametimuliwa,mikundu yao.
Balete balete! 😀Batalokota benyewe mumayi
🤣🤣🙌🙌Kwa Kipaji kikubwa alichonacho na kwa aina ya Vipaji vilivyopo hapa nchini Uganda Simba SC watafanikiwa nae mno.
View attachment 3030974
Steven Mukwala
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Balete balete! 😀
We mwamba unalitendea haki jina lako umetisha sana mkuu.Mukwalaaaa! Aaah
Ni ndugu yangu ila sema hapa aliyakanyagaPopoma Kayatimba.
We jamaa mkatili sana asee....😀😀😀😀Mukwalaaaa! Aaah
Kejeli zimetokea hapohapo mlipomsifia....haihitaji kuelezea meeeengiYanga ina mashabiki wa ajabu sana. Sijaelewa hizi kejeli za Mukwala zinatokea wapi. Ndiyo anaweza na anahitajika kufanya vizuri zaidi ila kama chaguo la pili kama striker namba zake siyo mbaya kabisa.
Alifunga goli muhimu dhidi ya Mashujaa na nilisema wakati ule kuwa ule ushindi ndiyo unaenda kuipa Simba ubingwa. Nilisema vile maana nilijua unaenda kuamsha nini ndani ya wachezaji wa Simba. Wote tumeona mechi zingine ngumu ambazo Simba imepata ushindi ikiwemo wa dakika za jioni, chachu yake ilikuwa ile mechi ya Kigoma.
Usikute mnamsagia kunguni ili Simba imuache mumchukue.
Itoshe kusema we ni mbumbumbu yaani chezaji litoke nje lije kuwa streka namba 2 simba hapo unaona umechambua mwenyewe🤣🤣🤣🤣🤣Yanga ina mashabiki wa ajabu sana. Sijaelewa hizi kejeli za Mukwala zinatokea wapi. Ndiyo anaweza na anahitajika kufanya vizuri zaidi ila kama chaguo la pili kama striker namba zake siyo mbaya kabisa.
Alifunga goli muhimu dhidi ya Mashujaa na nilisema wakati ule kuwa ule ushindi ndiyo unaenda kuipa Simba ubingwa. Nilisema vile maana nilijua unaenda kuamsha nini ndani ya wachezaji wa Simba. Wote tumeona mechi zingine ngumu ambazo Simba imepata ushindi ikiwemo wa dakika za jioni, chachu yake ilikuwa ile mechi ya Kigoma.
Usikute mnamsagia kunguni ili Simba imuache mumchukue.
Kwani alichosema mleta mada na kilichotokea kina tofauti gani? Kwani Simba imeshindwa kurudisha mataji? Kwani Mukwala hatoi mchango katika timu?Kejeli zimetokea hapohapo mlipomsifia....haihitaji kuelezea meeeengi
Kwani hayo mataji simba waliyapeleka wapi mpaka wayarudishe🤣🤣🤣🤣🤣Kwani alichosema mleta mada na kilichotokea kina tofauti gani? Kwani Simba imeshindwa kurudisha mataji? Kwani Mukwala hatoi mchango katika timu?