Huyu mchezaji toka Serbia tumepigwa

Kanali G

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
9,898
Reaction score
14,413
Nimeangalia mchezo kati ya Simba na St George, kiwango kilichoonyeshwa na mchezaji Dejan toka Serbia ni cha kawaida sana, ni bora mara mia ya Kagere au Mugalu. Kwa kweli hapa tumeuziwa rangi sio mchezaji.
 
Sawa, dirisha dogo tutamsajili Makambo
 
Nimeangalia mchezo kati ya Simba na St George, kiwango kilichoonyeshwa na mchezaji Dejan toka Serbia ni cha kawaida sana, ni bora mara mia ya Kagere au Mugalu. Kwa kweli hapa tumeuziwa rangi sio mchezaji.
Wachawi wa Utopolo wameanza kujibinuabinua na kubana bana pua.

Unapoanzisha mada anza kufikiri kwanza!! Yaani mtu hajafanya mazoezi na wenzake mmeanza kushusha lawama.

Mbona funguo hatukuona zikifungua milango juzi?
 
Wamemsajili mwarabu wa Usangu eti wanatudanganya wamemtoa Serbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1]
Unataka kusema ni burushi wa rujewa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…