Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeangalia mchezo kati ya Simba na St George, kiwango kilichoonyeshwa na mchezaji Dejan toka Serbia ni cha kawaida sana, ni bora mara mia ya Kagere au Mugalu. Kwa kweli hapa tumeuziwa rangi sio mchezaji.
Ulitegemea nini toka kwa wale wanaotembea na vinyesi kwenye vyupi vyao?Lini alifanya mazoezi na wenzake? Acheni ku judge mtu mapema. Tumpe muda ndio tuseme
Sawa, dirisha dogo tutamsajili MakamboNimeangalia mchezo kati ya Simba na St George, kiwango kilichoonyeshwa na mchezaji Dejan toka Serbia ni cha kawaida sana, ni bora mara mia ya Kagere au Mugalu. Kwa kweli hapa tumeuziwa rangi sio mchezaji.
Umejikagua kwenye nguo yako ya ndani lakini?Nimeangalia mchezo kati ya Simba na St George, kiwango kilichoonyeshwa na mchezaji Dejan toka Serbia ni cha kawaida sana, ni bora mara mia ya Kagere au Mugalu. Kwa kweli hapa tumeuziwa rangi sio mchezaji.
Ilo kimba fc limeleta uziLini alifanya mazoezi na wenzake? Acheni ku judge mtu mapema. Tumpe muda ndio tuseme
Yaani kwa kuwa hajafanya mazoezi na wenzake ndio ashindwe hata kugusa na kukontroo mpira?Lini alifanya mazoezi na wenzake? Acheni ku judge mtu mapema. Tumpe muda ndio tuseme
Wachawi wa Utopolo wameanza kujibinuabinua na kubana bana pua.Nimeangalia mchezo kati ya Simba na St George, kiwango kilichoonyeshwa na mchezaji Dejan toka Serbia ni cha kawaida sana, ni bora mara mia ya Kagere au Mugalu. Kwa kweli hapa tumeuziwa rangi sio mchezaji.
Ulichangia sh. Ngapi kwenye usajili.
Unataka kusema ni burushi wa rujewa?😂😂😂😂😂😂Wamemsajili mwarabu wa Usangu eti wanatudanganya wamemtoa Serbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1]
Una maanisha Simba wamesajili m,,burushi wa usangu [emoji23][emoji23][emoji23]Wamemsajili mwarabu wa Usangu eti wanatudanganya wamemtoa Serbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1]