Huyu mchoma mahindi yupo wapi?

Huyu mchoma mahindi yupo wapi?

Hold on

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2023
Posts
482
Reaction score
1,126
Huyu mchoma Mahindi mwenye bunduki anapatikana kijiwe gani? Niko njiani naenda Dodoma nataka nimpitie aniuzie muhindi choma moja.

D3FF8913-653B-48C8-ABE5-2DED5595D51A.jpeg

Zicomedy Show
 
Ya kwenda kula wapi?
Hivi unajua Kuna wafanyabiashara wachafu umewahi shuhudia mahotelini chakula kinavyoandaliwa , au kwa mama ntilie Yani ndo mana hata chakula Chao wanapiga tofauti ni basi tu nafikiri umenielewa

Sasa tuje kwa huyu muuza mahindi akiweka huko anapunguza joto kupotea na wateja wanapenda mahindi ya Moto Moto hivyo akimaliza ya mkononi anachomoa tu unauziwa 🤔ndo
 
Ila hayo mahind yataungua
 
mlitaka wapambane nae wakati anampa Rais hindi tu nyie vipi?kujifanya mnajua sana kumbe hamjui lolote 😕
[emoji1787] tumena Mara nyingi wkt wake hata waziri tu akitaka kumpa mkono anasumbiliwa na wasaidiz wake,

Sasa a mere mchoma mahindi yupo comfortable [emoji3061]
 
Back
Top Bottom