Huyu mdada anaomba ushauri wenu

Kwaiyo wazazi wa huyo hinti/kitoto Cha elfu 2,000 wanapokea kila mwanaume anayekuja kujitambulisha?

Kwanza sio mdada sema kitoto Cha elfu 2,000
Mbaba hajielewi na kitoto chenyewe hakijielewi na wazazi wa kitoto ndio hawajielewi kabisa yani vurugu.

Mimi ushauri wangu unaenda kwa huyo kijana wa miaka 29 atafute mke wa kuoa aachane na icho Kivuruge.

Huyo binti sidhani kama kweli anahitaji ushauri manaake hapo ni issue ya kufanya maamuzi tu.
 
Ahahahahaahahahahaaha
 
Ukivunjwa miguu, Uje tena hapa kuanzisha uzi.
 
Huyo mubaba amekukosea nini jamani? Kwanini uliruhusu moyo wako kumpenda mtu mwingine wakati tayari upo na mubaba wa watu?

NB: Kwa umri nilionao na uzoefu nilioupata, jambo la muhimu kwenye mahusiano yoyote ni maelewano, kuheshimiana na zaidi ni kujenga familia (kupata watoto). Zama za leo hakuna kitu kinaitwa 'kupendana'
 
Mwambie huyo kichwa maji hakuna ndoa ya kweli kati ya mtu waliyepishana karibu miaka 20. Mwisho wa siku lazima arudi kwa age mate, eidha kwa sababu ya peer pressure au kwa kutoendana na huyo babu yake.
Na ajiandae huyo jamaa mwenye miaka 40+ akitangulia kufa tu,ataitwa mchawi na amemuua ili arithi mali.
 
Sawa kabisa
 
Aolewe kwanza na mubaba miaka 20 badaye mubaba atafatiki huku yeye akiwa na miaka 43, Atabaki na Majumba na Pesa.

Kisha aolewe tena na yule Jembe la mkono atakayekuwa na miaka 49, miaka 20 badaye watakufa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…