HUYU mdada JINI OR SHETANI.....

Wazinzi @ work.

Kila siku kula mihogo mibichi kwa wingi, karanga mbichi nusu kilo kwa siku, shushia na supu ya pweza kila siku, heshima itarudi tu.
 
kuridhishana si lazima mabao yote hayo kaka huenda unamgegeda tu na kukojoa ila humridhishi ndo mana anang`ang`ania mengi
 
[h=2]Kupenda sana Ngono kwanimaliza, Madokta nisaidieni.[/h]
Habarini Madokta wazuri na washauri makini wa Jukwaa hili.
Jamani naomba mnisaidie jambo moja nyeti sana.
"Hamu ya Kupenda Sana Kufanya Ngono".

Hii kitu inanifanya nisiweze kudumu na mpenzi mmoja,kwani namkinai mapema.

Sasa nilikuwa nauliza.
1. Ni Ugonjwa au ni hamu zangu tu?

2. Kama ni Ugonjwa,dawa gani itanitibu na kama ni hamu zangu,nitumie nini ili uache kunisumbua?
Jamani niko Serious.
Naomba kama wewe unaijua tiba ya ugonjwa huu au kuna Daktari unamfahamu ambae ataweza nitibu, p'se nisaidie.
Maana ninakoelekea nitaota Sugu, mweee!!!!

Angalizo:
NITAIFUATA TIBA YAKO POPOTE PALE NCHINI TANZANIA

Huyo ni Rafiki yangu kanituma nimuombee Ushauri, maana yeye si member wa JF


 

Inaonekana bwana mdogo ndio amebalehe hivi karibuni, maana anavyohangaika ni balaa.

Kwani Kimboka hakujui? lakini kwa sababu amesema hupo morogoro ajaribu kwenda pale kwenye ile klabu maarufu ya usiku iliyopo mjini karibu na benki fulani.
 
Eee bana eeh.. sio kama unataka tu kutuvunja mbavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…