Huyu mdada kachanganyikiwa...anahitaji msaada

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
wana jf mtamsaidiaje huyu mdada.........??

Me ni msichana mwenye umri wa miaka 27 have been dating a man for about miaka minne now, my boy friend is very good looking and very attractive. Ila tatizo linakuja kwenye mambo ya kitandani, before nilikua sijui kama anatatizo lolote kwa sababu yeye ndo man wangu wa kwanza, kweli wahenga wamesema tembea uone. Kuna siku nilicheat na mwanaume mwingine tena ni bwana wa rafiki yangu kwa kweli alinipagawisha sana mpaka leo namthamini sana kuliko boyfriend wangu maana, siku hizi nikiwa nae kwenye kumi na nane zetu simuenjoy kabisa huyu bf wangu.Guys naomba ushauri wenu maana huyu kaka mwingine hawezi kunichukua kimoja coz anamdate my friend though ndo nampenda Sana kuliko wangu.......
 
Me ni msichana mwenye umri wa miaka 27 have been dating a man for about miaka minne now, my boy friend is very good looking and very attractive. Ila tatizo linakuja kwenye mambo ya kitandani, before nilikua sijui kama anatatizo lolote kwa sababu yeye ndo man wangu wa kwanza, kweli wahenga wamesema tembea uone.
Kuna siku nilicheat na mwanaume mwingine tena ni bwana wa rafiki yangu kwa kweli alinipagawisha sana mpaka leo namthamini sana kuliko boyfriend wangu maana
Hapa nikisema YES to INFIDELITY makada wa chama pinzani nafikiri watanielewa maana wafuasi wanajileta wenyewe kwenye chama bila kulazimishwa
, siku hizi nikiwa nae kwenye kumi na nane zetu simuenjoy kabisa huyu bf wangu.
Guys naomba ushauri wenu maana huyu kaka mwingine hawezi kunichukua kimoja coz anamdate my friend though ndo nampenda Sana kuliko wangu
Tukupe ushauri gani sasa wanawake wengine bwana
.......

Mwanamke kama huyu akija kwangu na habari hii nitamwangalia kwa huruma sana, badala ya kukaa na mwanaume wake na kuongea nae ili waangalie watayamalizaje hayo matatizo yeye anaenda kukitembeza kwa mwanaume mwingine ndio hapo wanawake akili zao saa zingine zinakuwa kama za panzi wewe umeishaenda kutembea na mwanaume mwingine unataka tukushauri nini? Ungeomba ushauri kabla haujaenda kutembea na mwanaume mwingine umekimbia tatizo ukifikiri ndio umelitatua badala ya kukaa na kuvunja ukimya na mwenzako hapo mimi sina ushauri wa kukupa
 
Huyu ni wa kugonga tu,akija apewe anachotaka then aendelee kutembea aone zaidi.
 
wana jf mtamsaidiaje huyu mdada.........??

Me ni msichana mwenye umri wa miaka 27 have been dating a man for about miaka minne now, my boy friend is very good looking and very attractive. Ila tatizo linakuja kwenye mambo ya kitandani, before nilikua sijui kama anatatizo lolote kwa sababu yeye ndo man wangu wa kwanza, kweli wahenga wamesema tembea uone. Kuna siku nilicheat na mwanaume mwingine tena ni bwana wa rafiki yangu kwa kweli alinipagawisha sana mpaka leo namthamini sana kuliko boyfriend wangu maana, siku hizi nikiwa nae kwenye kumi na nane zetu simuenjoy kabisa huyu bf wangu.Guys naomba ushauri wenu maana huyu kaka mwingine hawezi kunichukua kimoja coz anamdate my friend though ndo nampenda Sana kuliko wangu.......
kuna ushauri mwingine unapaswa kupewa kwa mhusika directly.
naomba nikutanishe naye nimfanyie counseling ya wiki nzima.

ntumie kwenye pm contact zake
INFIDELITY JHUUUUU!!!!!!!!!!!
 
Just ua brain na mazoea. New experience is always great anyway!
 
Huyu ni wa kugonga tu,akija apewe anachotaka then aendelee kutembea aone zaidi.

Na kweli maana kama huyu hahitaji ushauri kabisa huyu anahitaji tiba tu una TII KIU yako halafu ON TO THE NEXT ONE
 
huyo dada ana tabia za kikahaba

Kama sio za kichangudoa hapo anataka tumpe ushauri gani tena huyu akija kwangu namwambia njoo tu du ze nid ful kama ulivyofanya na jamaa tukimaliza ndio nampa ushauriwatu wengine bwana mtu umeishaiba halafu eti unataka tukupe ushauri
 
Wameshasema...Its all in your mind...Get it out..!

Sikuzote ujue why kuna vitu kama ndoa ya mkeka nk... wahenga wanajua kuwa ni almost upuuzi kuchanganya wanume au wanwake.. you might hangover on the wrong setting ..kama hayo yanayokupata sasa ....na ikaleta matatizo makubwa dunianai na mbinguni... technicaly unatakiwa usijue mwamke au mwaname mwingine zaidi ya huyo ambaye ni wa kwako ..let say officially!!

Na the more you do it the wrong way.. the more the confusion na frustrations...!!

WITO: Stop swaping patners!!!
 
Mshauri aleze kinaga ubwaga tatizo linalomsumbua bf wake, wataalamu tupo tutamsaidia.
 
Kama sio za kichangudoa hapo anataka tumpe ushauri gani tena huyu akija kwangu namwambia njoo tu du ze nid ful kama ulivyofanya na jamaa tukimaliza ndio nampa ushauriwatu wengine bwana mtu umeishaiba halafu eti unataka tukupe ushauri

ndo hapa hasira zinaponikaba.
 
haya wazinifu wenzake msaidieni mwenzenu huyo.....Lol!
 
Watu bana nani humu hajawai kucheat! Kazi kunyoosheana vidole!
 
Nimeipenda hii Kimey;
ungeuliza ambaye anaona hajawahi kucheat hata mara moja asogee mbele, ungejionea maajabu........................ (hii haimaanishi mimi na-cheat)
 
wana jf mtamsaidiaje huyu mdada.........??

Me ni msichana mwenye umri wa miaka 27 have been dating a man for about miaka minne now, my boy friend is very good looking and very attractive. Ila tatizo linakuja kwenye mambo ya kitandani, before nilikua sijui kama anatatizo lolote kwa sababu yeye ndo man wangu wa kwanza, kweli wahenga wamesema tembea uone. Kuna siku nilicheat na mwanaume mwingine tena ni bwana wa rafiki yangu kwa kweli alinipagawisha sana mpaka leo namthamini sana kuliko boyfriend wangu maana, siku hizi nikiwa nae kwenye kumi na nane zetu simuenjoy kabisa huyu bf wangu.Guys naomba ushauri wenu maana huyu kaka mwingine hawezi kunichukua kimoja coz anamdate my friend though ndo nampenda Sana kuliko wangu.......

Ushauri wangu ni kwamba utakiona siku ya Kiama
 
Back
Top Bottom