PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Huyo hakupendi na inawezekana ana msela wake ambae wanapendana, so anaona haina maana ya kumcheat ili awe na wewe mtu ambae hana interest na wewe! Mpotezee, mwache aende siyo lazima kila mwanamke unaemtaka mpaka umpate.
Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app