Ma Mshuza
JF-Expert Member
- Feb 26, 2019
- 207
- 1,122
Asalam aleikhum.
Leo tulikuwa na meeting sehemu flani huko posta. Watu walikuwa wengi zsidi ya 50 tukijadiliana mambo mbalimbali.
Mimi nlifika kwa kuchelewa kidogo sababu ya Traffic Jam.baadaye nilipofika sehemu husika pia kutokana na mambo ya usalama nikapoteza dk 5 tena kwenye entrance.
Nmeingia ndani haraka nikaangaza macho nikaona nisipite mbele sababu ya haya maumbo yetu wengine tunanyanyasika kijinsia.
Nikamwona kaka mmoja mtanashati amekaa ametulia sana pembeni yake kiti hakina mtu.nikavutiwa na utulivu wake na kwenda kukaa naye.nlimsalimia akajibu pasipo hata kuntizama.nlikwazika kidogo.
Aliyekuwa anaongea alipomaliza akataka tulioingia late tujitambulishe ...nikasimama nikajitambulisha hapo ndo nikaona huyu kaka sas anaanza kuntizama kwa chati.
Nikimtizama anakwepa...then tena anarudisha macho yake kuntizama.kwa kuibia....baadaye akashika simu na kuingia JF. Hapo ndo nlishtuka.... Jamani leo nmekutana na GuDume kidogo nicheke...nikajizuia.
Nikasema nitamwona kama anaweza hata kuniimbisha maana ni wazi alikuwa ananitizama kwa kuibia.nmekuja msemesha kuhusu agenda kadhaa ana aibu ,hawezi hata nikazia macho...anaongea anatizama chini na pembeni. Gudume ana aibu...khaaaah??? Nmeshangaa... Mpaka tunaagana hajui kama mimi niliyekaa naye pale ni mimi.
Nmechukua namba yake ya simu akibisha tu namtext... Inawezekana siku nikakutana na GENTAMYCINE akaanza kuuma uma vidole... Au Mshana Jr akawa anatafuna kucha kwa aibu ...😂😂😂😂😂