ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kwa hiyo huyo Gudume alikuwa anauma uma vidole kama mtoto wa kike wa form one...akitongozwa na kaka wa form six...aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda GuDume alikuwa ana aibu ya kuogopa kuombwa ofa.Asalam aleikhum.
Leo tulikuwa na meeting sehemu flani huko posta. Watu walikuwa wengi zsidi ya 50 tukijadiliana mambo mbalimbali.
Mimi nlifika kwa kuchelewa kidogo sababu ya Traffic Jam.baadaye nilipofika sehemu husika pia kutokana na mambo ya usalama nikapoteza dk 5 tena kwenye entrance.
Nmeingia ndani haraka nikaangaza macho nikaona nisipite mbele sababu ya haya maumbo yetu wengine tunanyanyasika kijinsia.
Nikamwona kaka mmoja mtanashati amekaa ametulia sana pembeni yake kiti hakina mtu.nikavutiwa na utulivu wake na kwenda kukaa naye.nlimsalimia akajibu pasipo hata kuntizama.nlikwazika kidogo.
Aliyekuwa anaongea alipomaliza akataka tulioingia late tujitambulishe ...nikasimama nikajitambulisha hapo ndo nikaona huyu kaka sas anaanza kuntizama kwa chati.
Nikimtizama anakwepa...then tena anarudisha macho yake kuntizama.kwa kuibia....baadaye akashika simu na kuingia JF. Hapo ndo nlishtuka.... Jamani leo nmekutana na GuDume kidogo nicheke...nikajizuia.
Nikasema nitamwona kama anaweza hata kuniimbisha maana ni wazi alikuwa ananitizama kwa kuibia.nmekuja msemesha kuhusu agenda kadhaa ana aibu ,hawezi hata nikazia macho...anaongea anatizama chini na pembeni. Gudume ana aibu...khaaaah??? Nmeshangaa... Mpaka tunaagana hajui kama mimi niliyekaa naye pale ni mimi.
Nmechukua namba yake ya simu akibisha tu namtext... Inawezekana siku nikakutana na GENTAMYCINE akaanza kuuma uma vidole... Au Mshana Jr akawa anatafuna kucha kwa aibu ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwahiyo una shepuuuu ya kutosha
Hahaha kumbe na wewe umeshtuka kama mie! !?Jf bhanaa [emoji16][emoji16] wachache wapo OG kwa asilimia zote ila wengine ndio wale was double ID's. Moja yupo real na nyingine Ni ya ku-experience aina ya maisha anayotamani kuyaishi. Uzuri ID hata zikiwa tofauti huwezi kuwa fake kwa asilimia zote maana flow ya uandishi, sehemu unazozijua na mambo unayoyajua hayawezi kuwa FAKED.
😂😂😂 Yaani anajitekenya na kucheka mwenyewe 🤣🤣🤣Gudume Naona umejifungulia uzi una jifanya mwanamke. ..
Wonders shall never ends
Yaani ni vituko aise[emoji23][emoji23][emoji23] Yaani anajitekenya na kucheka mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ana Id ngapi jumla unazozifahamu ?Wew gudume nitakutongoza mi ID yote ya nn sasa hii