Huyu 'mfalme' ni feki

Huyu 'mfalme' ni feki

thesym

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
3,843
Reaction score
4,796
Tangu kujiingiza kwenye kampeni msanii ali kiba kwenye chama fulani nyota yake imefifia ghafla yaani hata wale watu waliokuwa wanamsapoti humu jukwaani wengi sasa hawapo nae mfano mzuri hata ile special thread yake kama imepotezewa.

Naogopa kusema huyu bwana kama alikuwa anatembelea nyota ya mpinzani wake. Pia nimegundua wengi waliokuwa wanamsapoti Ali Kiba walikuwa ni wanamabadiliko hivyo amewaangusha mashabiki wake. Nina uhakika huyu ndo msanii wa kwanza wa bongofleva siasa kumuathiri katika huu uchaguzi na wengine wanafuata.

Ni mtazamo tu.
 
we mleta mada umevurugwa au umetumwa? K 4 REAL ndo mfalme pekee aliyebakia bongo
 
Back
Top Bottom