Huyu Mganga alipitaje pale JKNIA?

Huyu Mganga alipitaje pale JKNIA?

Sema waislamu wetu huku bongo wana mambo yao ya ajabu kabisa akija muislam mgeni toka kwingine lazima ashangae,,,wengi wanaendekeza ushirikina na kuna mambo wanalazimisha ila hayapo kabisa kwenye dini
Ila wale wa maji ya upako na mafuta wapo kwenye dini?.
 
Na kiarabu chenyewe hakieleweki kabisa wanachanganya mambo mengi sana ya kishirikina
Ukimwambia asome quran hawezi na wengi hawajuia
Wameshajua kua waislam wengi sasa hivi wanasoma dini wakiwa watoto tu, so wanajua tu zile basics.
Mambo mengine mengi hawajui, sasa hawa wapigaji wamesoma hilo gape.

Hata kama wewe sio muislam ila hawa waganga wengi unatambua ni waongo.
Wanava kanzu, lemba au barghashia na sendo chini kama katoka uarabuni vile 😂😂😂.
Anachapa kiarabu hapo, anapachika na aya mbili tatu alizokalili, baasi dawa inauzika hapo.
 
Ukiwa na vibali toka wizarani unapita na mitishamba hata ulaya USA sio shida
 
Wameshajua kua waislam wengi sasa hivi wanasoma dini wakiwa watoto tu, so wanajua tu zile basics.
Mambo mengine mengi hawajui, sasa hawa wapigaji wamesoma hilo gape.

Hata kama wewe sio muislam ila hawa waganga wengi unatambua ni waongo.
Wanava kanzu, lemba au barghashia na sendo chini kama katoka uarabuni vile 😂😂😂.
Anachapa kiarabu hapo, anapachika na aya mbili tatu alizokalili, baasi dawa inauzika hapo.
Wote ni matapeli tu wawe hata upande mwingine ni mashetani tu
 
Hivi kwa karne hii ya sayansi na teknolojia mtu anaweza akapanda ndege kwenda kwenye chimbuko la dini yake na matalasimu vibuyu na tunguli ili akafanye uganguzi?

Tena wateja naona watakuwa ndugu zake wamatumbi AIBU HII

View attachment 2944712
Halafu mbona huyo jamaa anafanana na yule mchezaji kiungo punda sijui anachezea timu gani vile......
 
Back
Top Bottom