Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Wengi dini hawaijui, sema wanaitumia kama kichaka cha kufanya uchawi waoNa kiarabu chenyewe hakieleweki kabisa wanachanganya mambo mengi sana ya kishirikina
Ukimwambia asome quran hawezi na wengi kawajui
Unaweza kumuona mtu anajifanya Anasali ila machale kifuani kibaoWengi dini hawaijui, sema wanaitumia kama kichaka cha kufanya uchawi wao
Ila wale wa maji ya upako na mafuta wapo kwenye dini?.Sema waislamu wetu huku bongo wana mambo yao ya ajabu kabisa akija muislam mgeni toka kwingine lazima ashangae,,,wengi wanaendekeza ushirikina na kuna mambo wanalazimisha ila hayapo kabisa kwenye dini
Usisahau na wale wanaofufua misukule mkuu.Unaweza kumuona mtu anajifanya Anasali ila machale kifuani kibao
Nimewaona wengi na siogopi kuwauliza
Nawaambia uko upande gani Mungu au Shetani
Tena hao ndio washirikina wakubwa na waongoUsisahau na wale wanaofufua misukule mkuu.
Wote matapeliIla wale wa maji ya upako na mafuta wapo kwenye dini?.
Wameshajua kua waislam wengi sasa hivi wanasoma dini wakiwa watoto tu, so wanajua tu zile basics.Na kiarabu chenyewe hakieleweki kabisa wanachanganya mambo mengi sana ya kishirikina
Ukimwambia asome quran hawezi na wengi hawajuia
Unajua mwisho wake? Unafikiri hawakumkata kende?Ana bahati sana kapeleka Dubai na jamaa immigration mstaarabu sana ingawa anaona jina la Mungu limetumika sivyo
Angeenda Saudia daa
Wangekata kende
Maji siyo uchawi wala mafuta siyo uchawi huwezi kumkamata mtu akiwa na maji na mafuta.Ila wale wa maji ya upako na mafuta wapo kwenye dini?.
Ukiwa na vibali mali asili na tiba asilia unapita tuIlikuwaje huyu akaachiwa apite pale kwa kambarage?
Kwani huko Dubai aliingiaje?Ilikuwaje huyu akaachiwa apite pale kwa kambarage?
Nyuma ya camera ndio, ila KSA Wangemuanzia hapo hapo makofi wao hawajali cha human rights wala mama yakeUnajua mwisho wake? Unafikiri hawakumkata kende?
Wote ni matapeli tu wawe hata upande mwingine ni mashetani tuWameshajua kua waislam wengi sasa hivi wanasoma dini wakiwa watoto tu, so wanajua tu zile basics.
Mambo mengine mengi hawajui, sasa hawa wapigaji wamesoma hilo gape.
Hata kama wewe sio muislam ila hawa waganga wengi unatambua ni waongo.
Wanava kanzu, lemba au barghashia na sendo chini kama katoka uarabuni vile πππ.
Anachapa kiarabu hapo, anapachika na aya mbili tatu alizokalili, baasi dawa inauzika hapo.
Halafu mbona huyo jamaa anafanana na yule mchezaji kiungo punda sijui anachezea timu gani vile......Hivi kwa karne hii ya sayansi na teknolojia mtu anaweza akapanda ndege kwenda kwenye chimbuko la dini yake na matalasimu vibuyu na tunguli ili akafanye uganguzi?
Tena wateja naona watakuwa ndugu zake wamatumbi AIBU HII
View attachment 2944712
Dubai-UAE ni wastaarabu sana hawana hizo adhabu za kinyama kama SaudiaUnajua mwisho wake? Unafikiri hawakumkata kende?