Ooh kumbe.Tarasimu si ni sehemu ya ibada ya dini husika?
Hizo vitu anaenda navyo vikaongezewe nguvu huko
Bado hujasema.ANgalia klip hiyo uone katajwa nani na yuko wapi
Usiniulize maswali mimi
Mie tena kwa mimi muumini wa allah na matalasimu? 🤣Bado hujasema.
Bado hujasema.Mie tena kwa mimi muumini wa allah na matalasimu? 🤣
Bado hujasema.
Uarabuni pia katika uislamu viashiria vyovyote wa uchawi adhabu yake ni kifo.Sasa huko uarabuni mbona kashikwa na matalasimu yake
mama amefungua nchi.Ilikuwaje huyu akaachiwa apite pale kwa kambarage?
askari kampa makavu nae quran anaijua 😂😂
Na serikali imetuwezea hapo tu. Hakuna kubadilisha Lugha ya kufundishia iwe english mwanzo mwisho. Huwenda huyu jamaa angejieleza vizuri na kuachiwaKiingereza chetu sasa!
Halafu mwenye dini mwenyewe hana sijdahHapo kakutana na mwenye dini
Anamtoa nishai
Ova
Vimecholwa kiarabu na masanamu ya mtu kugawanywa mwili?Wachina wanapita na vitu kama hivo canada airport
Ile sijdah zinapatikana vipi mbona wenye dini zao hawana?Halafu mwenye dini mwenyewe hana sijdah
Waswahili wakikumbuka wameahidia wakifa katika uislamu wanabadilika kuwa waarabu wanajisuguaga hadi na steel wire na msasa.Ile sijdah zinapatikana vipi mbona wenye dini zao hawana?