Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Siyo wote wenye boxer mnunulie tena mbiliKuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
Joto lakini ilitakiwa umwambie badala ya kuja hukuAvae hata jinsi
Wanazitoa wapi hizo chupi?Watu wa bush hasa wasukuma wana matatizo sana.
Imagine mpaka leo karne ya 21 bado kuna jamaa wanavaa chupi zile za kizamani miaka ile ya 47!
Hilp joto la dar unaloona ni dogo linawrza kuwa kubwa kwa mimi ninayetokea mafinga, pia kulala uchi si kosa kisheria, kikanuni, kiimani, wala kimaadili, wewe tu ulitaka kumu undermine mgeni wako ili ajue kwamba wewe ni tajiri, chumba anacholala yeye kwako ni kisehemu tu cha kupigia pasi,, na hizo tabia mnazo sana watu mliotokea kwenye ufukara uliopotiliza, huwa mkifika mjini na kufanikiwa kupata kijinyumba cha room 2 basi ndugu zenu waliobaki kijijini huwa mnawaona kama takataka,pmbv kabisaDar sasa hivi hamna joto mkuu
Ustaabu tuna jifunza amfundishe tu kwasababu yeye ndiye anaye pata shida kifikraWanazitoa wapi hizo chupi?
Usalama wa taifa huyo ...tena ni level ya wolf kuwa makiniKuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
😂 aanze kuhudhuria vikao vya mjiniWote mmekosa ustaarabu kwanini uingie chumbani kwa mtu bila kugonga nayeye kwanini alale mali aache kama yupo soko mjinga...🤣
Anamwambiaje sasa🤣🤣🤣Joto lakini ilitakiwa umwambie badala ya kuja huku
Je yuko humu jfAnamwambia sasa🤣🤣🤣
Ushangae nyama ya serikaliPicha