Huyu mgeni wangu mbona kama simsomi?

yule aliyekutukana kizunguvkwa ngeli nzito nzito hakukosea,
 
Kwanini usibishe odi kabla ya kuingia ?...wanaolala bila ya nguo wapo sahihi kiafya na kiakili kuliko wanaolala na nguo ....wewe ukienda kuoga unaoga na nguo ? Je anaye oga na nguo yupo sahihi kuliiko asiye oga na nguo ?
 
Mfukuze
 
𝐊𝐰𝐚 𝐚𝐟𝐲𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐮𝐧𝐚𝐭𝐚𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐥𝐚𝐥𝐚 𝐮𝐜𝐡𝐢 𝐢𝐥𝐢 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐳𝐚 𝐤𝐢𝐦𝐚𝐮𝐦𝐛𝐢𝐥𝐞 𝐳𝐢𝐰𝐞 𝐚𝐜𝐭𝐢𝐯𝐞.𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐰𝐰 𝐧𝐝𝐨 𝐦𝐬𝐡𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐩𝐫𝐨 𝐦𝐚𝐱.𝐬𝐢𝐤𝐮 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐮𝐣𝐮𝐞 𝐮𝐣𝐢𝐧𝐠𝐚 𝐧𝐢 𝐤𝐢𝐭𝐮 𝐮𝐬𝐢𝐜𝐡𝐨𝐤𝐢𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚
 
Sawa tushakujua una nyumba huo ulofanya ww ni unafiki tu watu hamna koromeo kila kitu kukisema tu

Ss huku mtandaoni iyo nyumba yko haitusaidii kitu jamii imekua ya kijinga sanaa
Kwanini uje kumtangazia huku jukwaani?
Kwa hiyo jamaa kaja kutangaza mjengo wake , siyo?
 
Kwanza ustaarabu wako ni sifuri kama siyo zero, unaingiaje kwenye chumba cha mgeni bila kubisha hodi?
 
Mambo kama haya ya kutangazwa,kuonekana mshamba ,yalinifanya niepuke kabisa kwenda kwenda kwa ndugu ,jamaa …kwangu mimi sikanyagi hovyo hovyo kwa watu!
 
Hapo mwenye shida ni wewe.
 
Huyo hana tatizo wala usiogope, wale watu hawana mambo mengi sana, inawezekana alipofika hakuoga usiku matokeo yake amelala na jasho fukuto lilipompanda kali akaamua kuvua nguo zote, chunguza kama alioga usiku hiyo inaweza kuwa sababu kubwa, wanaofika mjini kutoka vijijini wanadhani humu unaweza maliza muda mrefu bila kuoga kama vijijini
 
Sijawahi kulala na nguo tangu nikiwa mtoto na sasa nipo na 50+ na siwezi tena nakuwa uncomfortable kiasi sipati lepe la usingizi. Nimeshangaa kijana unamtangaza mgeni wako uliyemuita mwenyewe nyumbani kwako kwa hiyari yako, wakati alitaka kwenda zake guest, unafikiri mchawi?? Ulikua na nafasi ya kuongea naye kama unaona hayupo sawa kwa vigezo vyako badala ya kumleta hapa jamvini!
 
Halafu ukiangalia wenye majumba haswaa hawajitangazii

Kwanza iyo nyumba anokaa ni nyumba mbanano nyumba haswaa kuna kua na sehemu yke ya kupasia nguo na meza yake sasa yy anaenda kupasi chumbani
Halafu kwa umri wake nilidhani atakuwa ana mke wa kumnyooshea nguo😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…